Job Listings

Available Jobs

ACCOUNTANT

Type: Full-Time

Category: Cooperate

Career Level: Mid

Education: Bachelor's

Experience: Atleast 1 yr

Location: TANZANIA

SIFA NA VIGEZO
Awe na CPA inayotambulika na Board ya Uhasibu Tanzania
Awe na uzoefu wa kufanya kazi katika nafasi ya Accountant.
Awe na uelewa mzuri wa kanuni na taratibu za Uhasibu.
Awe na uzoefu wa kushughulikia masuala ya TRA kwa mujibu wa sheria na taratibu za Kodi.
Awe na uwezo mzuri wa kutunza na kuandaa financial reports.
Awe mwaminifu, makini na mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa kujisimamia mwenyewe
Awe anakaa maeneo ya Bagamoyo Road
Mshahara ni makubaliano (salary is negogiable)

Posted on: 2026-10-08 19:59:00

Apply Now